• HABARI MPYA

  Friday, June 08, 2018

  GWIJI WA EVERTON YAKUBU ALIKUWEPO UWANJANI JANA NAKURU

  Mshambuliaji wa zamani wa Everton ya England, Yakubu Aiyegbeni (kulia) akiwa na Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Crescentius Magori (kushoto) wakifuatilia Nusu Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kati ya wenyeji, Kakamega Homeboyz na Simba SC ya Dar es Salaam jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Kenya
  Yakubu akiwa wenzake kutoka Everton na wenyeji wake jana Afraha
  Yakubu Aiyegbeni ni mshambualiaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria aliyechezea pia Portsmouth, Middlesbrough, Leicester City, Blackburn Rovers, Reading na Coventry City zote za England
  Meza kuu walikuwepo Mkuu wa Idara ya Masoko wa SportPesa Afrika Mashariki, Kevin Twisa (kushoto) na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' 
  Wachezaji wa Simba SC wakitoa heshima zao mbele ya jukwaa kuu alipokuwa ameketi Yakubu Aiyegbeni 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GWIJI WA EVERTON YAKUBU ALIKUWEPO UWANJANI JANA NAKURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top