• HABARI MPYA

  Friday, June 15, 2018

  CASILLAS ALIVYOPAMBA SHEREHE ZA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA

  Gwiji wa Hispania, kipa Iker Casillas na mrembo Natalia Vodianova wakiwa wamesimama na Kombe la Dunia baada ya kuliwasilisha Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow Ijumaa jioni kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya mwaka huu nchini Urusi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CASILLAS ALIVYOPAMBA SHEREHE ZA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top