• HABARI MPYA

  Thursday, June 07, 2018

  ARSENAL WATAMBULISHA JEZI ZAO MPYA ZA UGENIN

  Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Gabon, akionyesha jezi mpya ya ugenini ya Arsenal msimu ujao wa 2018-2019. Nyuma yake ni wachezaji wenzake waliovaa jezi za nyumbani, Mjerumani Mesut Ozil (kushoto) na Mfaransa Alexandre Lacazette (kulia) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL WATAMBULISHA JEZI ZAO MPYA ZA UGENIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top