• HABARI MPYA

    Thursday, May 03, 2018

    YANGA SC WALIVYOIFUATA U.S.M. ALGER KIBABE LEO, MECHI JUMAPILI

    Mabeki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) na Gardiel Michael (kushoto) wakiingia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo jioni wakati wa safari ya kwenda mjini Algiers, Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, U.S.M. Alger Jumapili   
    Yanga wanapitia Dubai katika safari yao hiyo
    Kipa wa pili wa Yanga SC, Ramadhani Kabwili akiingia JNIA leo kwa safari ya Algeirs 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOIFUATA U.S.M. ALGER KIBABE LEO, MECHI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top