• HABARI MPYA

  Sunday, May 06, 2018

  WENGER AWAAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 5-0 EMIRATES

  Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger akipunga mikono kuwaaga mashabiki Uwanja wa Emirates, London katika mchezo wake wa mwisho kama kocha wa klabu hiyo baada ya miaka 22 jioni ya leo Washika Bunduki hao wakishinda 5-0 dhidi ya Burnley, mabao ya Pierre-Emerick Aubameyang mawili dakika za 14 na 75, Alexandre Lacazette dakika ya 45 na ushei, Sead Kolasinac dakika ya 54 na Alex Iwobi dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WENGER AWAAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 5-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top