• HABARI MPYA

  Monday, May 07, 2018

  REAL MADRID YAPATA SARE CAMP NOU, RONALDO AUMIA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (kushoto)  akiwekeana mkwara na Sergio Ramos wa Real Madrid (kulia) wakati wa mechi ya La Liga baina ya mahasimu hao wa Hispania, maarufu kama El Clasico timu hizo zikitoa sare ya 2-2 usiku wa Jumapili. Mabao ya Barca iliyomaliza pungufu baada ya Sergi Roberto kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 na ushei yalifungwa na Luis Suarez dakika ya 10 na Lionel Messi dakika ya 52, wakati ya Real yalifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya14 na Gareth Bale dakika ya 72. Ronaldo alitolewa anachechemea na nafasi yake kuchukuliwa na Marco Asensio dakika ya 46 baada ya kuumia enka  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAPATA SARE CAMP NOU, RONALDO AUMIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top