• HABARI MPYA

    Saturday, May 05, 2018

    HAYE APANIA KULIPA KISASI KWA TONY BELLEW KESHO O2 ARENA

    Bondia David Haye (kulia) akimtambia mpinzani wake, Tony Bellew leo wakati wa kupima uzito kuelekea pambano lao la Jumamosi usiku ukumbi wa 02 Arena, Millenium Dome, Greenwich. Hilo ni pambano la marudiano baada ya Bellew kushinda kwa Knockout (TKO) raundi ya 11 Machi 4 mwaka jana kufuatia Haye kuumia mguu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAYE APANIA KULIPA KISASI KWA TONY BELLEW KESHO O2 ARENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top