• HABARI MPYA

  Sunday, May 06, 2018

  HAYE AMEKWISHA...ADUNDWA TENA NA BELLEW KWA TKO RAUNDI YA TANO TU

  Bondia David Haye akijisomba somba kuinuka baada ya kuanguka chini kufuatia kipigo cha mpinzani wake, Muingereza mwenzake Tony Bellew (hayupo pichani) katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa juu jana ukumbi wa O2 Arena, London. Bellew alishinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya tano baada ya refa Howard Foster kusimamisha pambano kufuatia Haye kuanguka chini mara mbili raundi ya tatu. Hilo lilikuwa pambano la marudiano baada ya Haye kupigwa tena kw TKO Novemba mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAYE AMEKWISHA...ADUNDWA TENA NA BELLEW KWA TKO RAUNDI YA TANO TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top