• HABARI MPYA

    Sunday, May 06, 2018

    HATIMAYE MAN CITY WAKABIDHIWA KOMBE LAO LEO ETIHAD

    Wachezaji wa Manchester City wakishangilia na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa leo Uwanja wa Etihad kufuatia sare ya 0-0 na Huddersfield Town. Man City ilijihakikishia ubingwa wa England Aprili 15 baada ya Manchester United kufungwa na West Brom PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HATIMAYE MAN CITY WAKABIDHIWA KOMBE LAO LEO ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top