• HABARI MPYA

    Sunday, May 06, 2018

    GIROUD AIZAMISHA LIVERPOOL DARAJANI...CHELSEA YASHINDA 1-0

    Mshambuliaji Mfaransa, Oliver Giroud akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 32 ikiilaza Liverpool 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GIROUD AIZAMISHA LIVERPOOL DARAJANI...CHELSEA YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top