• HABARI MPYA

  Saturday, May 19, 2018

  CHELSEA WAITWANGA 1-0 MAN UNITED NA KUBEBA KOMBE LA FA

  Wachezaji wa Chelsea wakishangilia na taji la ubingwa wa Kombe la FA baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United leo, bao pekee la Eden Hazard kwa penalti dakika ya 22 akimchambua vizuri David De Gea kufuatia yeye mwenyewe kuangushwa na Phil Jones kwenye boksi. Alexis Sanchez alidhani amefunga bao la kusawazisha kipindi cha pili, lakini akaambiwa alikuwa ameotea PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA WAITWANGA 1-0 MAN UNITED NA KUBEBA KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top