• HABARI MPYA

  Saturday, April 14, 2018

  UMTITI AFUNGA LA PILI BARCELONA YAIPIGA VALENCIA 2-1 CAMP NOU

  Beki wa kati, Samuel Umtiti akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Barcelona dakika ya 51 ikiilaza Valencia 2-1 leo katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Bao la kwanza la Barca limefungwa na Luis Suarez dakika ya 15, kabla ya Dani Parejo kuifungia Valencia kwa penalti dakika ya  87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UMTITI AFUNGA LA PILI BARCELONA YAIPIGA VALENCIA 2-1 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top