• HABARI MPYA

  Wednesday, April 18, 2018

  SPURS YACHOMOLEWA KWA PENALTI, SARE 1-1 BRIGHTON & HOVE ALBION

  Shane Duffy (kushoto) wa Brighton & Hove Albion akiwa juu kuwania mpira na Harry Kane wa Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussexnd timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Kane alianza kuifungia Spurs dakika ya 48 kabla ya Pascal Gross kuwasawazishia wenyeji kwa penalti dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YACHOMOLEWA KWA PENALTI, SARE 1-1 BRIGHTON & HOVE ALBION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top