• HABARI MPYA

  Saturday, April 14, 2018

  SALAH AFUNGA TENA LIVERPOOL YAIBAMIZA BOURNEMOUTH 3-0 ANFIELD

  Nyota wa Misri, Mohamed Salah akishangilia mbele ya mashabiki wa Liverpool baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 69 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yamefungwa na Msenegali Sadio Mane dakika ya saba na Mbrazil, Roberto Firmino dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA TENA LIVERPOOL YAIBAMIZA BOURNEMOUTH 3-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top