• HABARI MPYA

  Monday, April 16, 2018

  PSG WAIKUNG'UTA MONACO 7-1 NA KUTWAA TAJI LA LIGUE 1

  Wachezaji wa PSG wakishangilia baada ya ushindi wa 7-1 dhidi ya Monaco jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris uliowahakikishia taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa, maarufu kama Ligue 1. Mabao ya Monaco jana yalifungwa na Giovani Lo Celso, Angel Di Maria kila mmoja mawili, Edinson Cavani, Radamel Falcao aliyejifunga na Julian Draxler, wakati la Monaco lilifungwa na Rony Lopes PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WAIKUNG'UTA MONACO 7-1 NA KUTWAA TAJI LA LIGUE 1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top