• HABARI MPYA

  Wednesday, April 18, 2018

  MULLER APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YAIFUMUA 6-2 BAYER LEVERKUSEN

  Thomas Muller akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 52, 64 na 78 katika ushindi wa 6-2 wa Bayern Munich dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ujerumani usiku wa Jumanne Uwanja wa BayArena mjini Leverkusen. Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na Robert Lewandowski dakika ya tatu na sita na Thiago Alcântara dakika ya 61, wakati ya Bayer Leverkusen yamefungwa na Lars Bender dakika ya 16 na Leon Bailey dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MULLER APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YAIFUMUA 6-2 BAYER LEVERKUSEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top