• HABARI MPYA

  Monday, April 16, 2018

  MASHABIKI WA SIMBA SC KWA RAHA ZAO LEO UWANJA WA TAIFA

  Mashabiki wa Simba SC wakipiga saluti kufurahia ushindi wa timu yao wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
  Ilikuwa saluti maalum kuwabeza Tanzania Prisons, ambayo ni timu ya Jeshi la Magereza nchini 
  Shabiki maarufu wa Simba, Naima Salum (kushoto) ambaye pia ni msanii mwigizaji na mpenzi wa zamani wa kipa wa zamani wa Simba, Peter Manyika sasa anadakia Singida United akiwa na rafiki yake
  Mashabiki wa Simba SC wakiendeleza furaha yao leo 
  Hawa nao walibeba bango lililoandikwa Maharage ya Mbeya Maji Mara Moja, kuibeza timu kutoka Mbeya 
  Mashabiki hawa wengine wakiendeleza furaha yao kwa namna yao 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WA SIMBA SC KWA RAHA ZAO LEO UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top