• HABARI MPYA

  Sunday, April 15, 2018

  KIKOSI CHA YANGA KILICHOIPIGA SIMBA 2-1 ARUSHA FAINALI YA KWANZA KOMBE LA FAT 2000

  Kikosi cha Yanga kabla ya mechi ya kwanza ya Fainali ya Kombe la Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa TFF) Novemba 15 mwaka 2000 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha. Yanga ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Aziz Hunter na Vincent Tendwa, huku la Simba likifungwa na Ally Yussuf 'Tigana'.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA KILICHOIPIGA SIMBA 2-1 ARUSHA FAINALI YA KWANZA KOMBE LA FAT 2000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top