• HABARI MPYA

  Wednesday, April 18, 2018

  INTER MILAN MOTO CHINI, YAIFUMUA CAGLIARI 4-0 SERIE A

  Marcelo Brozovic akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la tatu dakika ya 60 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Cagliari kwenye mchezo wa Serie A usiku wa Jumanne Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan. Mabao mengine ya Inter yamefungwa na Joao Cancelo dakika ya tatu, Mauro Icardi dakika ya 49 na Ivan Perisic dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INTER MILAN MOTO CHINI, YAIFUMUA CAGLIARI 4-0 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top