• HABARI MPYA

  Saturday, April 14, 2018

  GIROUD APIGA MBILI CHELSEA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 3-2

  Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu na la ushindi Chelsea dakika ya 78 ikitoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Southampton leo Uwanja wa St. Mary's katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Giroud pia alifunga bao la kwanza Chelsea dakika ya 70, kabla ya Eden Hazard kufunga la pili dakika ya 75, wakati mabao ya Watakatifu yalifungwa na Dusan Tadic dakika ya 21 na Jan Bednarek dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA MBILI CHELSEA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top