• HABARI MPYA

  Tuesday, April 17, 2018

  CRISTIANO RONALDO AONYESHA MISULI YA NGUVU YA MAPAJA YAKE

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akionyesha misuli ya mapaja yake akiwa na wenzake mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa La Liga dhidi ya Athletic Bilbao Uwanja wa Bernabeu kesho kabla ya kumenyana na Bayern Munich katika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CRISTIANO RONALDO AONYESHA MISULI YA NGUVU YA MAPAJA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top