• HABARI MPYA

  Wednesday, April 18, 2018

  MESSI, SUAREZ WAANZIA BENCHI BARCELONA YATOA SARE NA CELTA VIGO 2-2

  Nyota wa Barcelona, Nelson Semedo (kushoto) na Lionel Messi (katikati) wakimpongeza mwenzao, Ousmane Dembele baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 36 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Celta Vigo usiku wa Jumanne Uwanja wa de Balaidos mjini Vigo kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca ambayo nyota wake Luis Suarez alikuwa benchi huku Messi akiingia dakika ya 60 kuchukua nafasi ya Phillippe Coutinho, limefungwa na Paco Alcecer dakika ya 64, wakati ya Celta Vigo yamefungwa na Jonny Castro dakika ya 45 na Iago Aspas dakika ya 82. Barca ilimaliza pungufu baada ya Sergi Roberto aliyeingia dakika ya 60 kuchukua nafasi ya Andre Gomes kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI, SUAREZ WAANZIA BENCHI BARCELONA YATOA SARE NA CELTA VIGO 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top