• HABARI MPYA

  Saturday, March 10, 2018

  YANGA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akipiga mpira mbele ya beki wa Kagera Sugar, Mwaita Gereza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0
  Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akimtoka beki wa Kagera Sugar, Mohammed Fakhi 
  Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib akimtoka Mwaita Gereza wa Kagera Sugar 
  Kiungo wa Yanga SC, Pius Buswita akipasua katikati ya wachezaji wa Kagera Sugar 
  Ibrahim Ajib (kuhoso) akitafuta maarifa ya kumpia Mwaita Gereza (kulia)
  Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiuwahi mpira dhidinya Atupele Green wa Kagera Sugar
  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akipoga mpira
  Yussuf Mhilu wa Yanga akiuvuta mpira mbele ya wachezaji wa Kagera Suhar 
  Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana 
  Kikosi cha Kagera Sugar kabla ya mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top