• HABARI MPYA

    Tuesday, March 13, 2018

    YANGA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pius Buswita akimruka kwa ustadi mkubwa beki wa Stand United, Ally Ally katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1.
    Ally Ally wa Stand United akiwa juu kuwania mpira na kiungo wa Yanga, Yussuph Mhilu 
    Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib akiwatoka wachezaji wa Stand United  
    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akipiga shuti huku beki wa Stand, Erick Mulilo akikwepa 
    Yussuph Mhilu wa Yanga akimdhibiti mchezaji wa Stand ili auwahi mpira
    Kiungo chipukizi wa Yanga, Maka Edward akimuacha chini mshambuliaji wa Stand United, Bigirimana Blaise  
    Mshambuliaji wa Stand united Tariq Seif akipambana katikati ya walinzi wa Yanga, wakiongozwa na nahodha, Kevin Yondan (kulia)
    Winga wa Yanga, Emmanuel Martin (kulia) akijaribu kumpita Jisend Mathias wa Stand United aliyelala chini
    Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa 
    Kikosi cha Stand United kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top