• HABARI MPYA

    Sunday, March 04, 2018

    YANGA ILIYOFIKA ROBO FAINALI KOMBE LA WASHINDI AFRIKA 1995 HAIKUTARAJIWA

    Kikosi cha Yanga SC kilichoundwa upya mwaka 1995 baada ya kuvunjwa kwa kikosi kilichofungwa 4-1 na Simba SC mwaka 1994. Kikosi hicho kiliundwa kwa mseto wa wachezaji waliopandishwa kutoka timu ya vijana, maarufu kama Yanga, ambayo kocha Tambwe Leya (sasa marehemu) alikipa jina Black Stars, saba waliobaki kutoka kutoka kikosi cha 1994 na wachache waliosajiliwa kutoka timu mbalimbali, wakiwemo James Tungaraza kutoka Sigara (sasa marehemu), Bakari Malima, Reuben Mgaza, Mahmoud Nyalusi (marehemu pia), Benny Luoga (marehemu), Vincent Peter, Peter Louis na wengineo. Kikosi hiki kilikwenda kufika Robo Fainali ya iliyokuwa michuano ya Kombe la Washindi Afrika mwaka 1995.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA ILIYOFIKA ROBO FAINALI KOMBE LA WASHINDI AFRIKA 1995 HAIKUTARAJIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top