• HABARI MPYA

  Sunday, March 04, 2018

  WENGER ANAVYOZIDI KUTESEKA ARSENAL, NA LEO KAPIGWA 2-1

  Kocha Arsene Wenger (kushoto) akisikitika baada ya timu yake, Arsenal kuchapwa mabao 2-1 na wenyeji, Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussex. Mabao ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na Lewis Dunk dakika ya saba na Glenn Murray dakika ya 26, kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kuifungia Arsenal dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WENGER ANAVYOZIDI KUTESEKA ARSENAL, NA LEO KAPIGWA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top