• HABARI MPYA

    Sunday, March 18, 2018

    WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIVYOWAONGOZA WATANZANIA KUISHANGILIA NGORONGORO LEO

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) akiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia wakifuatilia mchezo wa kirafiki baina ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes na Morocco leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Ngorongoro imeshinda 1-0. 
    Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) akifurahia soka ya Ngorongoro Heroes
    Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) hapa akisalimiana na kiongozi wa Morocco 
    Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa (kulia) akiwasabahi baadhi ya wadau waliojitokeza uwanjani 
    Wananchi na wapenzi wa soka wakionyesha mapenzi yao kwa Waziri Mkuu, Dk. Kassim Majaliwa kwa kumpungia mikono  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIVYOWAONGOZA WATANZANIA KUISHANGILIA NGORONGORO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top