• HABARI MPYA

  Sunday, March 04, 2018

  SURA YA PIERRE LECHANTRE MAMBO YANAPOKUWA MAGUMU

  Kocha wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Stand United ya Shinyanga juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya 3-3 
  Pierre Lechantre aliyejiunga na Simba SC mwezi uliopita hakufurahishwa na uchezaji wa timu yake juzi
  Pierre Lechantre aliyechukua nafasi ya Mcmeroon, Joseph Marius Omog alilazimika kusimama kuzungumza na wachezaji wake
  Huo ulikuwa mchezo wa mwisho kabla ya Simba kumenyana na El Masry ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika   

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SURA YA PIERRE LECHANTRE MAMBO YANAPOKUWA MAGUMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top