• HABARI MPYA

    Monday, March 12, 2018

    SON HEUNG-MIN APIGA MBILI SPURS YAIBAMIZA 4-1 BOURNEMOUTH

    Son Heung-min akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 62 na 87 katika ushindi wa 4-1 wa Tottenham Hotspur dhidi ya AFC Bournemouth usiku wa Jumapili Uwanja wa Vitality. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa Dele Alli dakika ya 35 na Serge Aurier dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SON HEUNG-MIN APIGA MBILI SPURS YAIBAMIZA 4-1 BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top