• HABARI MPYA

    Wednesday, March 14, 2018

    SIMBA SC WALIVYOONDOKA LEO DAR KUWAFUATA AL MASRY

    Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiburuza begi lake leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakati wa safari ya Cairo nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Al Masry Jumamosi 
     Mshambuliaji Mganda, Nicholaus Gyan akiwaongoza wenzake safarini leo
    Nahodha John Bocco akielekea eneo kuingia JNIA baada ya kuteremka kwenye basi la simu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOONDOKA LEO DAR KUWAFUATA AL MASRY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top