• HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2018

    SIMBA SC NA AL MASRY KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa Al Masry ya Misri, Ahmed Abdalraof 'Shokry' wa Al Masry anayegalagala chini (kushoto) katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, timu hizo zikitoka sare ya 2-2
    Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akimuacha chini Mohammed Emam 'Girindo' 
    Mshambuliaji na Nahodha wa Simba, John Bocco (kulia) akipambana na beki mzaliwa wa Ivory Coast raia wa Burkina Faso, Mohamed Koffi wa Al Masry 
    Beki wa Al Masry, Amir Mousa akiwa juu kupiga mpira kichwa 
    Beki wa Simba, Yussuf Mlipili (kulia) akikabiliana na Ahmed Goma (katikati) 
    Beki wa Simba, Etasto Nyoni akiwa juu kuokoa dhidi ya mchezaji wa Al Masry 
    Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Laudit Mavugo akimiliki mpira ya Mohamed Koffi 
    Winga wa Simba, Shiza Kichuya akimtoka mchezaji wa Al Masry
    Kikosi cha Al Masry kabla ya mchezo wa jana  
    Kikosi cha Simba kabla ya mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA AL MASRY KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top