• HABARI MPYA

  Tuesday, March 13, 2018

  SILVA FUNGA ZOTE MAN CITY YASHINDA 2-0, BADO POINTI SITA BINGWA

  David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao yote dakika za 10 na 50 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Bet365. Man City inafikisha pointi 81 baada ya kuceza mechi 30, ikifuatiwa kwa mbali kabisa na Manchester United yenye pointi 65 za mechi 30, maana yake timu ya kocha Pep Guardiola inahitahji kushinda mechi mbili zaidi kujihakikishia ubingwa wa England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SILVA FUNGA ZOTE MAN CITY YASHINDA 2-0, BADO POINTI SITA BINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top