• HABARI MPYA

  Monday, March 05, 2018

  RONALDO ALIVYOIONGOZA REAL MADRID KUIFUATA PSG

  Cristiano Ronaldo akiwaongoza wachezaji wenzake wa Real Madrid, Casemiro na Marcelo kwa safari ya Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Paris Saint-Germain kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ALIVYOIONGOZA REAL MADRID KUIFUATA PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top