• HABARI MPYA

  Friday, March 16, 2018

  ROJO ASAINI MKATABA MPYA MANCHESTER UNITED HADI 2022

  Beki Marcos Rojo akisaini mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu leo kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2022 na kuzima tetesi za Muargentina huyo aliyewasili Old Trafford mwaka 2014 kwa dau la Pauni Milioni 16 kutoka Sporting Lisbon kuhamia PSG kwa Pauni Milioni 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROJO ASAINI MKATABA MPYA MANCHESTER UNITED HADI 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top