• HABARI MPYA

  Friday, March 09, 2018

  OCAMPOS AFUNGA MAWILI MARSEILLE YAICHAPA 3-1 BILBAO

  Lucas Ocampos akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Olympique Marseille dakika ya kwanza na 57 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Bilbao usiku wa jana Uwanja wa Velodrome mjini Marseille, Ufaransa katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Europa League. Bao la pili la Marseille lilifungwa na Dimitri Payet dakika ya 14, wakati la Bilbao lilifungwa na Aritz Aduriz dakika ya 45 na ushei kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OCAMPOS AFUNGA MAWILI MARSEILLE YAICHAPA 3-1 BILBAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top