• HABARI MPYA

  Thursday, March 15, 2018

  NEYMAR LAWAMANI KUJIFANANISHA NA MAREHEMU HAWKING

  Mshambuliaji majeruhi wa Paris Saint Germain, Neymar ameposti picha hii kufuatia kifo cha mwanasayansi Stephen Hawking aliyefariki dunia jana akiwa ana umri wa miaka 76 baada ya kutembelea kiti cha walemavu tangu akiwa ana umri wa miaka 22 kama salamu zake za rambirambi, lakini Mbrazil huyo amelaumiwa vikali kwa kujinafanisha na Muingereza huyo aliyepitia kipindi kigumu cha maisha yake, wakati yeye ni majeruhi wa muda mfupi tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR LAWAMANI KUJIFANANISHA NA MAREHEMU HAWKING Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top