• HABARI MPYA

    Friday, March 16, 2018

    NEYMAR AANZA KUJIFUA GYM CHINI YA UANGALIZI WA DAKTARI

    Mshambuliaji majeruhi Mbrazil, Neymar akifanya mazoezi gym chini ya usimamizi wa Daktari wake binafsi. Neymar yuko nje kwa miezi mitatu kufuatia kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Marseille mwezi uliopita na sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anapambana ili acheze Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, Brazil ikifungua dimba na Uswisi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR AANZA KUJIFUA GYM CHINI YA UANGALIZI WA DAKTARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top