• HABARI MPYA

    Friday, March 16, 2018

    MSUVA NA JADIDA WALIVYOIFUATA AS VITA KWA AJILI YA MECHI YA JUMAPILI

    Kiungo mshambuliaji wa Difaa Hassan El Jadida, Mtanzania Simon Msuva (kushoto) akiwa na mmoja wa Maofisa wa timu hiyo jana wakati wa safari ya kwenda Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa ajili ya mchezo wa marudiano na wenyeji, AS Vita hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika utakaofanyika Jumapili
    Hapa Simon Msuva akiwa na Afisa na mchezaji mwenzake pia  
    Hapa Simon Msuva akiwa na kikosi kizima cha Difaa Hassan El Jadida wakati wa safari hiyo 
    Safari hiyo ilifuatia mazoezi mazuri ya mwisho juzi, Difaa Hassan Jadida ikihitaji kwenda kuulinda ushindi wake mwembamba wa 1-0 nyumbani wiki iliyopita, bao pekee la Simon Msuva (wa pili kushoto)  
    Hapa ni baada ya mazoezi ya juzi mjini Jadida
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSUVA NA JADIDA WALIVYOIFUATA AS VITA KWA AJILI YA MECHI YA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top