• HABARI MPYA

    Thursday, March 15, 2018

    MESSI AFUNGA MAWILI, ASETI MOJA BARCA YAIBAMIZA CHELSEA 3-0

    Lionel Messi akishangilia na Ousmane Dembele baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 wa Barcelona dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Camp Nou. Messi alifunga mabao mawili dakika za tatu na 63 na alimsetia pia Dembele kufunga lingine dakika ya 20 na sasa Barca inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AFUNGA MAWILI, ASETI MOJA BARCA YAIBAMIZA CHELSEA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top