• HABARI MPYA

    Monday, March 05, 2018

    MESSI AFUNGA BAO LA 600 BARCA IKIICHAPA 1-0 ATLETICO MADRID

    Mshambuliaji Muargentina, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee la ushindi dakika ya 26 ikiilaza 1-0 Atletico-Madrid katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Camp Nou. Hilo linakuwa bao la 600 kwa Messi tangu aanze kucheza mpira wa ushindani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AFUNGA BAO LA 600 BARCA IKIICHAPA 1-0 ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top