• HABARI MPYA

    Tuesday, March 06, 2018

    MASHABIKI YANGA WALIVYOTIA HURUMA LEO TAIFA KIPIGO CHA ROLLERS

    Mashabiki wa Yanga wakifuatilia kinyonge mchezo dhidi ya Township Rollers leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutokana na timu yao kufungwa 2-1 na timu hiyo ya Botswana katika mchezo huo wa kwanza Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika
    Township pamoja na kucheza ugenini leo, lakini walikuwa bora na kuwazima wenyeji kiasi cha kuwatia unyonge mashabiki wake
    Hawa ni mashabiki wa Simba waliokuwa wanawashangili wageni leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHABIKI YANGA WALIVYOTIA HURUMA LEO TAIFA KIPIGO CHA ROLLERS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top