• HABARI MPYA

  Wednesday, March 14, 2018

  MAN UNITED YAPIGWA 2-1 OLD TRAFFORD NA KUTUPWA NJE LIGI YA MABINGWA

  Kipa David De Gea akiwa mnyonge baada ya kufungwa bao la pili na Wissam Ben Yedder wa Sevilla usiku wa Jumanne, Manchester United wakichapwa 2-1 katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya na kutolewa baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Hispania. Ben Yadder alifunga dakika za 74 na 78, wakati bao la United lilifungwa na Romelu Lukakiu dakika ya 84 Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPIGWA 2-1 OLD TRAFFORD NA KUTUPWA NJE LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top