• HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2018

    MAN CITY YAGONGWA NYUMBANI 2-1, LAKINI YASONGA MBELE ULAYA

    Winga wa Manchester City, Leroy Sane akimtoka mchezaji wa FC Basle, Fabian Frei katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Basle ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Mohamed Elyounoussi dakika ya 17 na Michael Lang dakika ya 71, baada ya Gabriel Jesus kutangulia kuifungia Man City dakika ya nane ambayo inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-2, kufuatia awali kushinda 4-0 Basle PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAGONGWA NYUMBANI 2-1, LAKINI YASONGA MBELE ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top