• HABARI MPYA

    Sunday, March 04, 2018

    KELL BROOK AMDUNDA SERGEY RABCHENKO KWA KO RAUNDI YA PILI

    Bondia Muingereza, Kell Brook akifurahia na mkanda wake baada ya kumshinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili Sergey Rabchenko wa Belarus usiku wa Jumamosi Uwanja wa Sheffield Arena katika pambano la uzito wa Super Welter na sasa anaweza kupigana na Ami Khan PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KELL BROOK AMDUNDA SERGEY RABCHENKO KWA KO RAUNDI YA PILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top