• HABARI MPYA

  Thursday, March 08, 2018

  KCCA YAGONGA HODI HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SARE ya 0-0 ugenini dhidi ya wenyeji, Saint George mjini Addis Ababa jana, imeiweka kwenye nafasi nzuri timu ya Mamlaka ya Jiji la Kampala (KCCA) ya kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
  Sasa timu hiyo Wasaficha Jiji la Kampala itahitaji ushindi wa nyumbani hata wa 1-0 ili kwenda hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa
  Juzi Al Ahly ya Misri iliitandika Mounana ya Gabon mabao 4-0 mjinj Cairo, Horoya ya Guinea ilishinda 2-1 dhidi ya Generation Foot ya Senegal, Yanga ya Tanzania ilifungwa 2-1 nyumbani na Township Rollers ya Botswana, wakati Etoile du Sahel ya Tunisia iliichaoa 4-2 Plateau United ya Nigeria.

  MATOKEO KAMILI MECHI ZA KWANZA 
  RAUNDI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA
  Jumanne Machi 6, 2018
  Al Ahly (Misri) 4-0 Mounana (Gabon)
  Horoya (Guinea)2-1 Generation Foot (Senegal)
  Yanga SC (Tanzania) 1-2 Township Rollers (Botswana)
  Etoile du Sahel (Tunisia) 4-2 Plateau United (Nigeria)
  Jumatano Machi 7, 2018
  Saint George (Ethiopia) 0-0 KCCA (Uganda)
  Zanaco (Zambia) 1-2 Mbabane Swallows (Swaziland)
  Wydad Athletic Club (Morocco) 7-2 Williamsville AC (Ivory Coast)
  Aduana (Ghana)1-0 ES Setif (Algeria)
  MFM (Nigeria) 2-1 MC Alger (Algeria)
  Gor Mahia (Kenya) 0-0 Esperance (Tunisia)
  AS Togo (Togo) 2-0 El Hilal (Sudan)
  Zesco (Zambia) 0-1 ASEC Mimosas (Ivory Coast)
  TP Mazembe (DRC) 4-0 UD Songo (Msumbiji)
  Difaa Hassan (Morocco) 1-0 AS Vita (DRC)
  Primeiro de Agosto (Angola) 1-0 Bidvest (Afrika Kusini)
  Rayon Sports (Rwanda) 0-0 Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)

  MATOKEO MECHI ZA KWANZA RAUNDI YA KWANZA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
  Jumanne Machi 7, 2018
  Motema Pembe (DRC) 1-1 Deportivo Niefang (Equatorial Guinea)
  La Mancha (Kongo) 3-0 Al Ahly Shendi (Sudan)
  Petro de Luanda (Angola) 0-0 SuperSport United (Afrika Kusini)
  Belouizdad (Algeria) 3-0 Nkana FC (Zambia)
  RSB Berkane (Morocco) 3-1 Club Africain (Tunisia)
  Raja Casablanca (Morocco) 1-1 Nouadhibou (Mauritania)
  Jumatano Machi 8, 2018
  ASPL 2000 (Mauritius) 0-2 Fosa Juniors (Madagascar)
  Maniema Union (DRC) 2-2 USM Alger (Algeria)
  Olympic Star (Burundi) 0-0 Hilal Obayed (Sudan)
  Welayta Dicha (Ethiopia) 2-1 Zamalek (Misri)
  CARA Brazzaville (Kongo) 3-0 Ben Guerdane (Tunisia)
  Simba (Tanzania) 2-2 Al Masry (Misri)
  Energie (Benin) 0-2 Enyimba (NIgeria)
  Al-Ittihad (Libya) 1-0 Akwa United (NIgeria)
  Costa do Sol (Msumbiji) 0-1 Cape Town City (Afrika Kusini)
  Djoliba (Mali) 1-0 APR (Rwanda)
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KCCA YAGONGA HODI HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top