• HABARI MPYA

  Friday, March 16, 2018

  HAYA NDIYO YATAKUWA MAISHA YA KANE KWA WIKI SITA

  Mshambuliaji wa kimataifa wa England, Harry Kane akitembelea fimbo maalum za walemavu baada ya kuumia kifundo cha mguu wa kulia, maumivu ambayo yatamuweka nje kwa wiki sita. Kane aliumia Jumapili ya wiki iliyopita baada ya kugongana na kipa Asmir Begovic katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, Spurs wakishinda 4-1 dhidi ya Bournemouth 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAYA NDIYO YATAKUWA MAISHA YA KANE KWA WIKI SITA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top