• HABARI MPYA

  Wednesday, March 14, 2018

  DZEKO AIPELEKA ROMA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Mshambuliaji Edin Dzeko akimpiga tobo kipa wa Shakhtar Donetsk, Andriy Pyatov kuifungia bao pekee Roma dakika ya 52 ikishinda 1-0 katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Roma na kufanya sare ya jumla ya 2-2 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Uturuki. Roma inakwenda Robo Fainali kwa faida ya mabao ya ugenini, ikiungana na Juventus, Real Madrid na Sevilla zilizozitoa PSG, Tottenham na Manchetser United PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DZEKO AIPELEKA ROMA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top