• HABARI MPYA

    Sunday, March 11, 2018

    AUBAMEYANG AFUNGA BAO TAMU ARSENAL YASHINDA 3-0 ENGLAND

    Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akiruka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 59 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates mjini London, mabao mengine yakifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya nane na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AUBAMEYANG AFUNGA BAO TAMU ARSENAL YASHINDA 3-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top