• HABARI MPYA

  Friday, March 16, 2018

  ARSENAL YAISHINDILIA AC MILAN 3-1 NA KUSONGA MBELE KIBABE EUROPA LEAGUE

  Danny Welbeck (kulia) akishangilia na Aaron Ramsey (kushoto) baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za39 kwa penalti na 86 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Granit Xhaka dakika ya 71 na la Milan lilifungwa na Hakan Calhanoglu dakika ya 35. Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Milan PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAISHINDILIA AC MILAN 3-1 NA KUSONGA MBELE KIBABE EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top