• HABARI MPYA

    Monday, March 05, 2018

    AL MASRY WALIVYOJIFUA JANA GYMKHANA KUELEKEA MECHI NA SIMBA

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Aristide Bance (kushoto) akiwa mazoezini na mchezaji mwenzake wa klabu ya Al Masry ya Misri jana Uwanja wa Gymkhana mjini Dar es Salaam kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba SC Jumatano
    Al Masry walifanya mazoezi ufukweni mwa Bahari ya Hindi jana  
    Wachezaji wake walionekana ni wenye kujiamini pamoja na kuwa ugenini 
    Kocha wa Al Masry, Hossam Hassan (wa pili kulia) akijadiliana na wasaidizi wake 
    Wachezaji wa Al Masry wakati wanavaa kuingia mazoezini 
    Tangu wamefika nchini wanatumia basi la klabu ya Azam FC
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AL MASRY WALIVYOJIFUA JANA GYMKHANA KUELEKEA MECHI NA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top